Phone4Sale Nauza hii simu

Kwa nini usiiweke mezani ukaipa na jina "simu ya mezani"
NB hiyo hela upewi braza
Wewe nunu uweke mezani me inaniongezea mzigo tu nina line 2 na zote ziko ktk simu nyingine hii imekaa tu hapa ndani
 
Nikushauri tu.. si kwa ubaya..

Huna ndugu, Rafiki, jamaaa au mtu yoyote unayemjua mwenye uhitaji ukampa hiyo simu Mkuu?
Uko wapi nikuletee kama zawadi ya siku yako ya kuzaliwa teteeheeehtee
 
Aisee kuna mdau anauliza storeji ya hiyo simu reply haraka hela hiyo inakumendea braza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…