Samahani mkuu sio Kwa ubaya...hivi kwanini Hisense & TCL zimeshuka bei ghafla sana?OFA LEO TU PRICE 530,000 BRAND NEW
View attachment 3352681
Kila mwaka ukifika mwezi wa tano mpaka 7 uchumi unakuwa mgumu sana kidogo bandarini wanapunguza kodi so kila bidhaa inakuwa cheap sio hao tu tv zote zimeshuka mwezi wapili ulikuwa huwezi kupata inch 32 kwa 190000- 200000 ila now unapata mpaka chini ya hapo yani ukienda kariakoo na 340000 unapata smart inch 43 ila subiri ifike wa nane sasa bila 450000 hupatii samsung na LG inch 43 mwezi wapili ilikuwa smart 4K bila 1,100,000 hupati ila now ni 980000Samahani mkuu sio Kwa ubaya...hivi kwanini Hisense & TCL zimeshuka bei ghafla sana?
Samahani mkuu sio Kwa ubaya...hivi kwanini Hisense & TCL zimeshuka bei ghafla sana?
Shukrani mkuu nimekuelewa ...na ndiyo miezi hiyo hiyo ya bajeti mpya ya serikali hupitishwa na ya zamani inakua inaishia.Kila mwaka ukifika mwezi wa tano mpaka 7 uchumi unakuwa mgumu sana kidogo bandarini wanapunguza kodi so kila bidhaa inakuwa cheap sio hao tu tv zote zimeshuka mwezi wapili ulikuwa huwezi kupata inch 32 kwa 190000- 200000 ila now unapata mpaka chini ya hapo yani ukienda kariakoo na 340000 unapata smart inch 43 ila subiri ifike wa nane sasa bila 450000 hupatii samsung na LG inch 43 mwezi wapili ilikuwa smart 4K bila 1,100,000 hupati ila now ni 980000
Hisense & TCL zitaudi Kwa peak ya hatariYeah mda simrefu bei zitarudi kama zamani tena kwakasii kubwa