Nauza Home appliances & Kitchen appliance kwa bei nafuu sana!

AERO CHEST FREEZER 150L || 540,000 with out side condenser
 
AERO FREEZER 100L || 455,000 ina out side condenser
 
Mora 32 led {power by hisense} 265,000 One year warranty
 
🔔 BACK IN STOCK🔔
SPJ SHOWCASE FRIDGE

Model:SCCSTW-700C023.
Capacity: 409 LTR

Price: 1,950,000

 
ELECTRIC COOKER SILVER CREST - 2PLATE 170,000/=
 
Samahani mkuu sio Kwa ubaya...hivi kwanini Hisense & TCL zimeshuka bei ghafla sana?
Kila mwaka ukifika mwezi wa tano mpaka 7 uchumi unakuwa mgumu sana kidogo bandarini wanapunguza kodi so kila bidhaa inakuwa cheap sio hao tu tv zote zimeshuka mwezi wapili ulikuwa huwezi kupata inch 32 kwa 190000- 200000 ila now unapata mpaka chini ya hapo yani ukienda kariakoo na 340000 unapata smart inch 43 ila subiri ifike wa nane sasa bila 450000 hupatii samsung na LG inch 43 mwezi wapili ilikuwa smart 4K bila 1,100,000 hupati ila now ni 980000
Samahani mkuu sio Kwa ubaya...hivi kwanini Hisense & TCL zimeshuka bei ghafla sana?
 
Shukrani mkuu nimekuelewa ...na ndiyo miezi hiyo hiyo ya bajeti mpya ya serikali hupitishwa na ya zamani inakua inaishia.
 
Shukrani mkuu nimekuelewa ...na ndiyo miezi hiyo hiyo ya bajeti mpya ya serikali hupitishwa na ya zamani inakua inaishia.
Yeah mda simrefu bei zitarudi kama zamani tena kwakasii kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…