Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,858
- 3,393
Induction Cookers vipi unazo, na If possible tuwekee na bidhaa za Kodtek hasa Kitchen Appliances zake.
Nikuandalie 600ila kwasasa zipo chache 635,000View attachment 3348751
Sitosahau nilitaka kuuziwa hiii fridge kwa 1,630,000 duka la Samsung,kwa malipo ya awamu 3.Badaye nikasituka.
😂😂😂 mawinga ndotunauza vitu bei ndogo kuliko wenye maduka ila wateja wanashindwa kutofautisha kati ya winga na mfanyakazi wadukani hii fridge si wewe tu wengi wanauziwa 1,500,000 cash dukaniSitosahau nilitaka kuuziwa hiii fridge kwa 1,630,000 duka la Samsung,kwa malipo ya awamu 3.Badaye nikasituka.
Induction la umeme mkubwa.Induction ya gas au umeme