Nauza Home appliances & Kitchen appliance kwa bei nafuu sana!

Induction Cookers vipi unazo, na If possible tuwekee na bidhaa za Kodtek hasa Kitchen Appliances zake.
 
Sitosahau nilitaka kuuziwa hiii fridge kwa 1,630,000 duka la Samsung,kwa malipo ya awamu 3.Badaye nikasituka.
😂😂😂 mawinga ndotunauza vitu bei ndogo kuliko wenye maduka ila wateja wanashindwa kutofautisha kati ya winga na mfanyakazi wadukani hii fridge si wewe tu wengi wanauziwa 1,500,000 cash dukani
 
MR UK DOUBLE GLASS SMART TV INCH 32 PRICE - 240,000 hii tv ukiipima vizuri ni inch 29.8 ila inauzwa kama inch 32
 
JBL PARTYBOX 310……… 1,480,000
JBL PARTYBOX 120………. 1,180,000

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…