mhuni
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 955
- 592
ahaaa ungeuza kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahaaa ungeuza kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana ningekupa kama zawadi tena toka moyoniahaaa ungeuza kweli
Jamani mwenye kuhitaji ID yangu ya Mudawote naiuza. Masharti, atakayeinunua anatakiwa aendeleze mapambano zidi ya ukawa/chadema na awe mtiifu kwa CCM na viongozi wake.
Nakaribisha wanunuzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji122] [emoji386] [emoji122]mshana jr
Niuzie yako mi nataka nimtangaze masihi!
Badala ya kutangaza uchawi..iwe zamu ya kutangaza uzima na uponyaji utakao kwa Yesu.
Watajuajesheria za jf haziruhusu kuuza ID... Ukijulikana hiyo ID itafungiwa na kuifungua inahitaji pesa ndefu...