Nauza ID yangu ya "Mudawote"

Hhahaahhaaaa unataka kujifunza na kuanza kuelimisha jamii juu ya uchawi na ushirikina.... heheheeee ngoja nimuite yawezekana nae anatafuta mnunuzi. mshana jr
Kwa maisha haya enzi za magu mshana akitangaza anatoa kozi ya chuma ulete hapatoshi
 
Ccm wanashida kama na ww unapambana na chadema kwa pumba zile unaakis namna viongoz mlionao huko ccm ndo mana hata VAT inawatoa jasho kama sukar
 
mshana jr
Niuzie yako mi nataka nimtangaze masihi!
Badala ya kutangaza uchawi..iwe zamu ya kutangaza uzima na uponyaji utakao kwa Yesu.
 
mshana jr
Niuzie yako mi nataka nimtangaze masihi!
Badala ya kutangaza uchawi..iwe zamu ya kutangaza uzima na uponyaji utakao kwa Yesu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji122] [emoji386] [emoji122]
 
Na wewe utajiuza lini?


Meffi ya Kuku
 
sheria za jf haziruhusu kuuza ID... Ukijulikana hiyo ID itafungiwa na kuifungua inahitaji pesa ndefu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…