Yahya Asaa
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 244
- 28
Duuh aifoni ndo zimekua kama nyanya wakat iyo ilikua bei ya Xs maxMarket price kwa Used ni 650k kwa Iphone 11
Duuh aifoni ndo zimekua kama nyanya wakat iyo ilikua bei ya Xs max
Kama itakupendeza ipo 600k.Leo leo tumalize bznes please.
Iphone used zina siri sana kama huna experince nazo huwezi jua uhuni unaofanyika. Watu wanabdilisha battery, screen nknk.
Ila XS Max ni nzuri kuliko iPhone 11 plainDuuh aifoni ndo zimekua kama nyanya wakat iyo ilikua bei ya Xs max
Mpk ngapi? Nitakua Karibu kiongozibado uko mbali kaka
Ila XS Max ni nzuri kuliko iPhone 11 plain
Mpk ngapi? Nitakua Karibu kiongozi
Kamera ya iPhone XS Max ina 2× optical zoom ila iPhone 11 hainahapana mkuu sio kweli
Kamera ya iPhone XS Max ina 2× optical zoom ila iPhone 11 haina
Na biggest difference ni display. XS Max inatumia OLED panel wakati iPhone 11 inatumia IPS LCD display. Tena kioo cha iPhone XS Max kina 456ppi wakati iPhone 11 ina pixel density ya 326ppi tu. Kioo cha iPhone 11 ni cha kawaida sana,kinafana na vioo vya simu za Android za bei rahisi. iPhone XS Max ipo vizuri Sana kwenye hii sekta.
Ila iPhone 11 inatunza sana chaji kuliko iPhone XS Max kutokana na kutumia kioo cha bei rahisi.
Hiyo ni kawaida tena nashangaa jamaa anauza bei kubwa wakati ngoma zinatembea hadi 600kDuuh aifoni ndo zimekua kama nyanya wakat iyo ilikua bei ya Xs max
Kamera ya iPhone XS Max ina 2× optical zoom ila iPhone 11 haina
Na biggest difference ni display. XS Max inatumia OLED panel wakati iPhone 11 inatumia IPS LCD display. Tena kioo cha iPhone XS Max kina 456ppi wakati iPhone 11 ina pixel density ya 326ppi tu. Kioo cha iPhone 11 ni cha kawaida sana,kinafana na vioo vya simu za Android za bei rahisi. iPhone XS Max ipo vizuri Sana kwenye hii sekta.
Ila iPhone 11 inatunza sana chaji kuliko iPhone XS Max kutokana na kutumia kioo cha bei rahisi.
Hiyo ni kawaida tena nashangaa jamaa anauza bei kubwa wakati ngoma zinatembea hadi 600k
Jf utaiweza basi, wewe focus kuuza simu yako mzee!kwahiyo na iphone 14 pro max kioo chake ni cha bei rahisi ndio maama inakaa na chaji sana ?
naomba ujibu hayo masuali yangu
Jf utaiweza basi, wewe focus kuuza simu yako mzee!