Phone4Sale Nauza iPhone 11

Phone4Sale Nauza iPhone 11

Yahya Asaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
244
Reaction score
28
Habari zenu ndugu

nauza simu yangu iphone 11 eleven
simu ni mpya kabisa nauza pamoja vyote hivo
kwa bei ya laki 8.5

sifa zake
GB 128
bettry 100
face id iko vizuri
simu haimjui fundi
namba za simu 0777100041
3ed7f60b-d658-4a75-a0b9-eef56f209db8.jpg

fe589e45-1347-42e6-a311-8c627ca820b4.jpg

729cd79b-a58f-4d69-a9c3-0ef27daf0e5f.jpg

ce8c4a57-fc90-464c-85bf-5af1e4c758f1.jpg

b6c5960c-b5a3-4ca2-b729-2d066dfcb49e.jpg

IMG_1641.jpg

IMG_1640.jpg

IMG_1644.jpg

IMG_1643.jpg
 
Iphone used zina siri sana kama huna experince nazo huwezi jua uhuni unaofanyika. Watu wanabdilisha battery, screen nknk.

nikweli ila nakupa uhakika wa hii simu unapotaka kuthibitisha utaipeleka
 
hapana mkuu sio kweli
Kamera ya iPhone XS Max ina 2× optical zoom ila iPhone 11 haina
Na biggest difference ni display. XS Max inatumia OLED panel wakati iPhone 11 inatumia IPS LCD display. Tena kioo cha iPhone XS Max kina 456ppi wakati iPhone 11 ina pixel density ya 326ppi tu. Kioo cha iPhone 11 ni cha kawaida sana,kinafana na vioo vya simu za Android za bei rahisi. iPhone XS Max ipo vizuri Sana kwenye hii sekta.

Ila iPhone 11 inatunza sana chaji kuliko iPhone XS Max kutokana na kutumia kioo cha bei rahisi.
 
mbona umezungumzia kwenye kioo na kamera tu mkuu au hivo ndio vinatosha simu kua kubwa na bora kuliko iphone 11 ?
 
Mm sinaga haraka kununua haya mauchafu kwa bei kubwaaa nasubiri zinashuka unajikamatia kwa bei ndogo kabisa. Yaani wanangu wanapambana darasani nimewaahidi wafaulu niwanunulie iPhone hawajui nikienda kuchukua kama iPhone 6 au 6s napata kwa bei ambayo ningenunua infinix maisha ni kuchagua.
 
Kamera ya iPhone XS Max ina 2× optical zoom ila iPhone 11 haina
Na biggest difference ni display. XS Max inatumia OLED panel wakati iPhone 11 inatumia IPS LCD display. Tena kioo cha iPhone XS Max kina 456ppi wakati iPhone 11 ina pixel density ya 326ppi tu. Kioo cha iPhone 11 ni cha kawaida sana,kinafana na vioo vya simu za Android za bei rahisi. iPhone XS Max ipo vizuri Sana kwenye hii sekta.

Ila iPhone 11 inatunza sana chaji kuliko iPhone XS Max kutokana na kutumia kioo cha bei rahisi.

kwahiyo na iphone 14 pro max kioo chake ni cha bei rahisi ndio maama inakaa na chaji sana ?
naomba ujibu hayo masuali yangu
 
Back
Top Bottom