binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Jamani! 😍binti kiziwi kama umeipenda hiyo simu tafadhali nijulishe,au nitaku call kwa ile namba yangu unayoijua.
Offer bado iko valid? Au nipigie tu tujadili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani! 😍binti kiziwi kama umeipenda hiyo simu tafadhali nijulishe,au nitaku call kwa ile namba yangu unayoijua.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu jaman, khaaahKuna tecno na infinix za GB 256 za laki tano, nini special kwa hiyo simu ili tuvutiwe?
Mjibuni tu hoja yake ni kwamba akitumia tecno yenye 256GB ambayo ni laki 5 anakosa nini kilichomo kwenye iPhone yenye ukubwa huo?Tafuta hela kijana,ume comment kinyonge sana.
Mumeo amekusugua sana etiHakuna mteja mtako tu
Yule
Lushindo lwako, nyanokoKama huwezi tupa achia matajiri Acha uchawi kalale mbele huko mchawi wewe
[emoji23][emoji23]bhebhee!!!Lushindo lwako, nyanoko
Yaan I4n siku wakiondoa limitations zao za kiwakiii bas siku ya 2 iko mikononi, ila kwa sasa wabaki nazo tyuuh wenyewe.
Umasikini ni mbaya sana, hizi ndio zile akili zinasema "ukiwa na IST ni sawa tu na mtu mwenye Range kwa sababu wote mtafika mjini"Kuna tecno na infinix za GB 256 za laki tano, nini special kwa hiyo simu ili tuvutiwe?
14 plain sio kubwa kabisa na sio nzito ni machine hatari kabisaaaNi nzito? Kubwa? Hamnipati 😂😂
Labda pawepo na size ndogo, nyepesi like 13 plain, 11 plain, 8 plain., 12 min & 12 pro
Hapa inauzwa PM. Au hujasoma title??14 plain sio kubwa kabisa na sio nzito ni machine hatari kabisaaa
Nimesoma sawa nlikuwa tu nashauri tu kwenye uzito sio lazima ununue hii PMHapa inauzwa PM. Au hujasoma title??
Aisee mimi napenda pro japo sijawahi kutumia ila nataka nijaribu vipi ni nzito sana hadi inaboa?Any of PM sirudii kumiliki
Ni nzito afu pana sana mkononi’ kubwa kwa kifupi.
Atutafutie pro/ plain kisha uje kunichangia
Pro sio nzito..tena unakuta ni kadogo dogo kama plain tu.Aisee mimi napenda pro japo sijawahi kutumia ila nataka nijaribu vipi ni nzito sana hadi inaboa?
Oh mimi nataka kununua pro max napenda simu kubwa eti😀😀Pro sio nzito..tena unakuta ni kadogo dogo kama plain tu.
Pro max mimi naiona ni nzito sana aisee
Mimi ilinipa shida sana, huwezi kuchat nayo mkono mmoja.