King Leon 1
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 245
- 342
Acha utani kwaiyo bei unapata Xr,X na Xs max ilio kwenye ubora kabsaa
Maongezi yapo japo simu bado mpya. Acha kujifanya mjuaji niletee iyo XR kwa iyo bei nikupe hela
Definition ya brand new ni kuwa latest tu? Kwa hiyo iphone 11 for instance, direct from factory, na ambayo haijawahi kutumika kivyovyote, can't qualify as brand new? Inasikitisha sana.iPhone 7 mpya umeitoa wapi?
Hakuna hata iphone 11 mpya wewe hyo iphone 7 mpya una kiwanda binafsi?
Ilitoka 2016 ilishasitishwa leo tuko na Iphone 14 na 13 ndo zinaendelea kuzalishwa unaweza kupata mpya (Non active stock)
Upya wa simu sio kuwa na boksi.
Karibu JF vinginevyo kauze Mbagala
Definition ya brand new ni kuwa latest tu? Kwa hiyo iphone 11 for instance, direct from factory, na ambayo haijawahi kutumika kivyovyote, can't qualify as brand new? Inasikitisha sana.
* Mwenye simu pia kusema ni mpya wakati imetumika na yenyewe siyo sahihi. Standard classification kwenye masoko makubwa ni "same as new"
Wana JF Acheni kuundermine jitihada za kijana
Mbona hajamlazimisha yeyote kununua,angalia tangazo kama wahitaji zungumza nae na sio kumwambia nini cha kufanya.Tupeane support na sio kukatishana tamaa.