Phone4Sale Nauza iphone 7 plus, 410000 tshs

Phone4Sale Nauza iphone 7 plus, 410000 tshs

King Leon 1

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2019
Posts
245
Reaction score
342
Nauza IPhone 7 Plus
Color:- Rose gold
Storage- 32gb 3gb
Battery Health:- 100%
Display:- 5.5 inch
Condition:- Neat and no scratch
Location:- Mbezi luis ,Dar es salaam
Contact:-0756248745
IMG_1061.jpg
 
Maongezi yapo japo simu bado mpya. Acha kujifanya mjuaji niletee iyo XR kwa iyo bei nikupe hela

iPhone 7 mpya umeitoa wapi?
Hakuna hata iphone 11 mpya wewe hyo iphone 7 mpya una kiwanda binafsi?

Ilitoka 2016 ilishasitishwa leo tuko na Iphone 14 na 13 ndo zinaendelea kuzalishwa unaweza kupata mpya (Non active stock)

Upya wa simu sio kuwa na boksi.

Karibu JF vinginevyo kauze Mbagala
 
Definition ya brand new ni kuwa latest tu? Kwa hiyo iphone 11 for instance, direct from factory, na ambayo haijawahi kutumika kivyovyote, can't qualify as brand new? Inasikitisha sana.

* Mwenye simu pia kusema ni mpya wakati imetumika na yenyewe siyo sahihi. Standard classification kwenye masoko makubwa ni "same as new"
 
Condition of the phone is neat and clean with no scratch so ni sawa na “same as new” .
 
Definition ya brand new ni kuwa latest tu? Kwa hiyo iphone 11 for instance, direct from factory, na ambayo haijawahi kutumika kivyovyote, can't qualify as brand new? Inasikitisha sana.

* Mwenye simu pia kusema ni mpya wakati imetumika na yenyewe siyo sahihi. Standard classification kwenye masoko makubwa ni "same as new"

Kwangu ukisema new maana yake ni Non active stock
(Simu ambayo haijawahi kutumika na Apple warranty bado haijaanza kuhesabu) otherwise ni used phone isiyokuwa na dosari ikiwemo michubuko wala shida yoyote.
 
Wana JF Acheni kuundermine jitihada za kijana
Mbona hajamlazimisha yeyote kununua,angalia tangazo kama wahitaji zungumza nae na sio kumwambia nini cha kufanya.Tupeane support na sio kukatishana tamaa.

Umeongea vizuri sana,Kila mtu anajiona mjuaji sana, muda mwingine ni heri kukaa kimya kuacha mwenzio afanye biashara yake maana kama hutaki basi achana nayo kwa wenye uhitaji
 
Back
Top Bottom