Car4Sale Nauza IST yangu kwa 8.5m,haina dalali

Sawa nice one kama mtu anahitaji gari na pesa anayo atakuja kuichukua boss......wewe ndiyo mfanyabiashara sasa.

Washindwe wao.
 
Ongeza picha mkuu...hapo mbele kama imejichubua
 
NOTE [emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845]

Hii gari nishauza muda sana wakuu
Mnunuzi alitoka humuhumu mpaka leo tunawasiliana
Chuma iko fresh kabisa hana neno
 
NOTE [emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845][emoji845]

Hii gari nishauza muda sana wakuu
Mnunuzi alitoka humuhumu mpaka leo tunawasiliana
Chuma iko fresh kabisa hana neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…