Nauza Jaba la kuhifadhia maji

Picha tuone ubora wake kwanza me pia nipo ubungo nalitaka
 
Habari wana jamii.
Nauza Jaba la kuhifadhia maji lenye ujazo wa lita 60.
Nilikuwa nahifadhia maji kwa ajili ya matumizi ya ndani kama kunywa,kupikia nk.
Rangi nyeusi
Nimetumia muda mfupi.
Bei ni Tsh4,000
Napatikana Ubungo.
Nichek PM
Weka picha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…