[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haina tabu, kizuri mtu hula na nduguze...
Jiandae kwa harusi
Kubwa sana mkuu ungefanya buku 2 labda ungepata wanunuzi si unaona usawa wenyewe huu chiefSijaelewa bei kubwa au ndogo
Asante mkuu ila kumbuka kimfaacho mtu chake.Pole mkuu lakini naona bora ungeomba tu kuliko kuuza vyombo najua una shida ila ungejieleza tu upewe
sawa mkuu haina shida niulizie kusafirisha mpaka huku mbulu sh ngapi alafu nikutumie hiyo buku 2 yakoAsante mkuu ila kumbuka kimfaacho mtu chake.
Naomba unisaidie wewe kama umenielewa.
Nikupe namba unitumie.
Metakelfin
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkoani unatuma?
Hahaha take it easy brooh!! Bila shaka utakuwa unakaa hapo ubungo darajani kwa chiniNonsense