Nauza Jaba la kuhifadhia maji

So kind of you...

Nami nauza bia zangu nne....
 
Pakia kwenye uber nipo Chalinze njia panda, nikipokea tu naku M pesa immediately.
 
Habari wana jamii.
Nauza Jaba la kuhifadhia maji lenye ujazo wa lita 60.
Nilikuwa nahifadhia maji kwa ajili ya matumizi ya ndani kama kunywa,kupikia nk.
Rangi nyeusi
Nimetumia muda mfupi.
Bei ni Tsh4,000
Napatikana Ubungo.
Nichek PM
Aisee we ni noma.
 
Mkuu kwa nini unaliuza? Wewe na familia yako mtatumia nini kama utaliuza?

Nijibu ili nikusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…