mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,721
weka pichaHabari wana jamii.
Nauza Jaba la kuhifadhia maji lenye ujazo wa lita 60.
Nilikuwa nahifadhia maji kwa ajili ya matumizi ya ndani kama kunywa,kupikia nk.
Rangi nyeusi
Nimetumia muda mfupi.
Bei ni Tsh4,000
Napatikana Ubungo.
Nichek PM
inaonekana ndo umemaliza chuo unachanga changa hela ya joho!Nani amekuomba buku nne nenda kampe mama yako au bibi yako ndio ukawagegede.
Stupid person
kakwambia ana familia?Mkuu kwa nini unaliuza? Wewe na familia yako mtatumia nini kama utaliuza?
Nijibu ili nikusaidie.
So kind of you...
Nami nauza bia zangu nne....
Kwahiyo ndo imekula kwangu au utaninunulia sehemu nyingine?
Najua unajua kuwa ahadi ni deni....Hehehe kwa kweli hii post imenitia uchungu sana babu. Ukiona mtu mzima anauza asset kwa bei ya kutupa ujue vyuma vimekaza kweli kweli.
Aah weye na mie baba, ntakununua wewe, Bia zako na kreti (nikikuchoma mishkaki najua grocery inasimama kabisa).