Swordfisher
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 233
- 37
Za saa hizi wadau?
Nauza jiko la kuokea / kuchomea nyama na subwoofer aina ya Sea Piano size ndogo.Woofer ina speaker ndogo 2 (Twitter) na inaingiza flash, memory card na function ya Aux. Bei yake ni 75,000/= na mazungumzo yapo.
Jiko la nyama ni la size ya kati na lina uwezo wa kuchoma kilo 10 za nyama kwa wakati mmoja na linatumia mkaa. Bei ya yake ni sh. 90,000 na mazungumzo yapo nipo Kigamboni.
Alie na uhitaji ani-PM