Swordfisher
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 233
- 37
...ushachomea swine?Za saa hizi wadau? Nauza
jiko la kuokea/kuchomea nyama na subwoofer aina ya Sea Piano size
ndogo.Woofer ina speaker ndogo 2 (Twitter) na inaingiza flash, memory
card na function ya Aux. Bei yake ni 75,000/= na mazungumzo yapo.
Jiko la nyama ni la size ya kati na lina uwezo wa kuchoma kilo 10 za
nyama kwa wakati mmoja na linatumia mkaa. Bei ya yake ni sh. 90,000 na mazungumzo yapo nipo Kigamboni.
Alie na uhitaji ani PM
naomba picha ya hilo jiko,,Za saa hizi wadau? Nauza
jiko la kuokea/kuchomea nyama na subwoofer aina ya Sea Piano size
ndogo.Woofer ina speaker ndogo 2 (Twitter) na inaingiza flash, memory
card na function ya Aux. Bei yake ni 75,000/= na mazungumzo yapo.
Jiko la nyama ni la size ya kati na lina uwezo wa kuchoma kilo 10 za
nyama kwa wakati mmoja na linatumia mkaa. Bei ya yake ni sh. 90,000 na mazungumzo yapo nipo Kigamboni.
Alie na uhitaji ani PM
...ushachomea swine?
naomba picha ya hilo jiko,,