Nauza juice ya tende,nakufikia popote ulipo

iamgrateful

Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
35
Reaction score
21
Habarini nyote.

Nauza juice ya tende kwa order na kwa bei nafuu sana.

[emoji117]KUANZIA LITA MOJA (6500)

Nakuletea popote ulipo ndani ya Dar kwa gharama zako.

Faida za juice ya tende

[emoji117]Huongeza nguvu za kiume na hivyo kuboresha tendo la ndoa

[emoji117]Hupunguza kiwango cha alcohol kwenye damu(nzuri sana kwa hangover)

[emoji117]Husaidia mmeng'enyo wa chakula(ukiwa na constipation ukinywa hii inasaidia)

[emoji117]Huimarisha mifupa

[emoji117]Hupunguza uwezo wa kupata magonjwa ya moyo

[emoji117]Huongeza uwezo wa macho kuona vizuri zaidi.

[emoji117]Pia ni nzuri sana kwa mama mjamzito.

Kwa anaehitaji PM me.

NB: Ni nzuri sanaaa,naitengeneza kwa usafi,ladha yake hutaipata popote zaidi ya hapa kwangu[emoji39][emoji39][emoji39]









 
Hii ID yako nyingine mdogo wangu..weka bei mm ndio juice yangu no 1 hii
 
nitakutafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…