iamgrateful
Member
- Apr 9, 2018
- 35
- 21
- Thread starter
- #21
Usijali...utaniPM tu then tutawasilianaNipo Arusha narudi dar J4 nitakutafuta uniletee japo lita 1 nione ubora wake
Usijali...utaniPM tu then tutawasilianaNipo Arusha narudi dar J4 nitakutafuta uniletee japo lita 1 nione ubora wake
Mkuu hiyo faida ndo kubwa,huioni hapo?Kama hujaweka faida ya kuongeza nguvu za kiume hutapata wateja.
Thank you.Good luck mkuu.
Niamini mimi,hii juice yangu ni nzuri sana.Nunua utakuja simulia humu.Juice kweli isiwe kama juice za miwa za dar
Popote ulipo ndani ya Dar mkuu,Manyovu ni wapi?Popote nilipo?
Niko Manyovu huku niletee nusu lita
Nashukuru sana.Ila Hongera sana mpendwa
Unakuja PMMbona tunatishana??
Mi nahitaji, utanileteaje bila kukupa namba ya Simu??
Nikirudi nitakustua. Japo hujaweka namba za simu.Mkuu hiyo faida ndo kubwa,huioni hapo?
Nawe inabidi ununue lita moja ili uimarishe eye sight yako.
Weka namba zako bidada wengine hawawezi kuja pm huko siyo member humu.Unakuja PM
Embu tupe ingredients za hiyo juice kwanzaUnakuja PM
Mkuu hiyo faida ndo kubwa,huioni hapo?
Nawe inabidi ununue lita moja ili uimarishe eye sight yako.
Dah..kwani nawe ni mjamzito? [emoji15] [emoji15]Naomba ukirudi uagize Lita mbili namimi nione ubora wake
HapanaDah..kwani nawe ni mjamzito? [emoji15] [emoji15]
hata nikiwa usaHabarini nyote.
Nauza juice ya tende kwa order na kwa bei nafuu sana.
[emoji117]KUANZIA LITA MOJA (6500)
Nakuletea popote ulipo ndani ya Dar kwa gharama zako.
Faida za juice ya tende
[emoji117]Huongeza nguvu za kiume na hivyo kuboresha tendo la ndoa
[emoji117]Hupunguza kiwango cha alcohol kwenye damu(nzuri sana kwa hangover)
[emoji117]Husaidia mmeng'enyo wa chakula(ukiwa na constipation ukinywa hii inasaidia)
[emoji117]Huimarisha mifupa
[emoji117]Hupunguza uwezo wa kupata magonjwa ya moyo
[emoji117]Huongeza uwezo wa macho kuona vizuri zaidi.
[emoji117]Pia ni nzuri sana kwa mama mjamzito.
Kwa anaehitaji PM me.
NB: Ni nzuri sanaaa,naitengeneza kwa usafi,ladha yake hutaipata popote zaidi ya hapa kwangu[emoji39][emoji39][emoji39]
View attachment 913873
Hahahahaha...ni hatari kabisa...hahahahaha😀😀😀😀Kama hujaweka faida ya kuongeza nguvu za kiume hutapata wateja.