Nauza Kabati la Mninga Bei Sawa Na Bure tsh 299,000/=

Nauza Kabati la Mninga Bei Sawa Na Bure tsh 299,000/=

Bujoro

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
3,115
Reaction score
2,231
Habari wanajukwaa wenzangu najua mko poa, kama kichwa cha tangazo kinavojieleza nauza kabati langu la mninga lina mwaka mmoja tu toka nilinunue na nilinunua bei kubwa sana nadhani wengi mnafahamu mbao ya mninga ulivo imara na bei kubwa ni 6 ×5 ,lina milango mitatu juu na chini na drow bei ni tsh 299,000/= kabati limenyooka halina kipengere chochote wala changamoto yoyote ni mali yangu na kuthibitisha hilo kabati liko ndani kwangu napokaa.

Njoo ulione ulichukue kabla hawajakuwahi wengine.. Picha sio nzuri kwasababu ya simu niliyotumia kupiga haina camera nzuri ila ukiliona live ni kali zaidi ya hapo.. Mimi sio mbabaishaji na nashukuru nishawahi kuuza vitu vingi na hamna alielalamika wala kupata changamoto yoyote, Nipo Dar tabata bima karibuni Nipigie 0618266848.
 

Attachments

  • IMG-20250220-WA0019.jpg
    IMG-20250220-WA0019.jpg
    34.9 KB · Views: 2
  • IMG-20250220-WA0020.jpg
    IMG-20250220-WA0020.jpg
    38 KB · Views: 2
Back
Top Bottom