nauza kadi ya tcu mpya

nauza kadi ya tcu mpya

Toa sababu ya wewe kuiuza isije kuwa umempora mwanafunzi wa watu.
 
Nmekosea katita kununua .nilisoma diploma so natakiwa ninunue kwa mpesa sio bank kama nilivonunua hivi
 
Kwanini Usimgawie yule Asiyeweza kununua? Kumbuka kuna watu hata hawajui kama watafanya application....... Think Twice
 
Sina ndugu yyte anaesoma kwa ss hvo inagua ngumu kugawa kwa watu japo akitokea anaehitaji nitamfikilia
 
Back
Top Bottom