Beautifullgirl
Senior Member
- Feb 28, 2013
- 100
- 15
Kwa anaehitaji kadi ya tcu nauza kwa bei ya efu arobaini mimi nilinunua elfu hamsini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmekosea katita kununua .nilisoma diploma so natakiwa ninunue kwa mpesa sio bank kama nilivonunua hivi
Kwanini Usimgawie yule Asiyeweza kununua? Kumbuka kuna watu hata hawajui kama watafanya application....... Think Twice
Sina ndugu yyte anaesoma kwa ss hvo inagua ngumu kugawa kwa watu japo akitokea anaehitaji nitamfikilia