Beautifullgirl
Senior Member
- Feb 28, 2013
- 100
- 15
Nmekosea katita kununua .nilisoma diploma so natakiwa ninunue kwa mpesa sio bank kama nilivonunua hivi
Kwanini Usimgawie yule Asiyeweza kununua? Kumbuka kuna watu hata hawajui kama watafanya application....... Think Twice
Sina ndugu yyte anaesoma kwa ss hvo inagua ngumu kugawa kwa watu japo akitokea anaehitaji nitamfikilia