Nauza Kampuni/ Nakaribisha wakurugenzi

Nauza Kampuni/ Nakaribisha wakurugenzi

Tupe jina la kampuni tuone kama lina worth, isije ikawa ni Massawe LTD

Nadhani ni mjasiliamari mzuri tatizo hapa ni uwelewa pia na utamadani, ni jambo la kumpogeza kwani unapouza kampuni ni swala kuelewana na mnunuzi kulingana na uwezo assets zilizopo, sio lazima iwe tajiri... mm nikpo tayari..

mkuu ulishapata mteja?kama bado je mtu akitaka kununua hao directors wawili waliopo wanabaki au ndo wanamuachia mazima?

Isije ikawa anauza makaratasi lakini! Maana ku own a Limited liability company it goes beyond having Memorandum and Articles of Association na certificate of registration. Kama hajawahi kufanya biashara then kampuni haina assets wala goodwill

Kwa kweli anahitaji msaada huyu bwana! Hivi anaelewa nini maana ya Limited by Share? Pia anasema 2 Directors lakini anayeuza ni yeye peke yake kwanini asiseme tunauza kampuni?

Bila vielelezo imekula kwako na ki-kampuni chako uchwara!

Easy,Patience please!!!

Mapema mwaka jana nilisajili kampuni -Limited by Shares kwa ajili ya kutaka kufanya biashara moja hivi ya tender. Lakini bahati mbaya sikuweza kufanikiwa. Sasa nimeamua kuiuza kampuni hiyo kwa mtu anayeihitaji.

- Ina wakurugenzi wawili tu kwa sasa

- Ina TIN number

- Ina leseni ya kuendesha biashara ya stationery, mojawapo ya biashara inazoweza kufanya

USIJALI SANA MASUALA YA BEI TUTAONGEA TU
Mkuu, Kampuni yako ipo sehemu gani? na kwa sasa hivi mnafanya biashara moja tu ya Stationery? na Kampuni yako inaweza kuwa na thamani gani?

Back
Top Bottom