- Thread starter
- #21
"Hapa sina mnunuzi"hakyananWekabei humu huoni kaz kila mtu akupigie cm alafu humtajie Bonge la bei kwanini usiweke bei mtu akikupigia yupotajili kulingana napesa yake
"Hapa sina mnunuzi"hakyananWekabei humu huoni kaz kila mtu akupigie cm alafu humtajie Bonge la bei kwanini usiweke bei mtu akikupigia yupotajili kulingana napesa yake
Hapa pia hakuna mnunuziJifunze marketing acha ujinga, weka bei, unafikiri ebay au amazon wangekuwa wanafanya hivi wangeuza?
sababu hayupo serious, nimempigia kaniambia anauza tsh 150,000/= tu sababu limepasuka linahitaji kuchomelewa. kuchomelewa linaweza gharimu elfu50, lakini siwashauri likishapasuka huwa linaweza pasuka tena. naipenda jf
sie wengine huwa tunaangalia wengine wanasemaje bei ya soko...Tunaofanya biashara humu wengi hatuweki bei sababu humu ndani kuna watu wana wivu wa kijinga.mf..nikitaja bei hata ikiwa ndogo vp kuna watu watasema ni kubwa.kuna watakaosema "mbona buguruni yanauzwa laki mbili"wakati sio kweli.so,kama wahitaji njoo chemba tuongee
sie wengine huwa tunaangalia wengine wanasemaje bei ya soko...
wakati mwingine hapa huwa tunapata mwanga ili tusipigwe kama wamachinga wanavyotupiga kwenye bidhaa ya elf 9 anakupiga 35, kama hujui bei ya sokon ukimpa 30 anakubali kumbe kakulamba 21 zaidi
Kama unaona kuweka hapa huwezi kwanini usingepigia simu watu unaowafahamu ili wanunue?Betha mbona unaleta shutuma badala ya kutumia namba yangu hapo juu ili upate bei?
Naimani huyo mteja hajampatia humuWakuu,tank limeshanunuliwa.