LaRosa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2020
- 901
- 2,876
Leo nna mzigo mwingine... Huu unaitwa MSR X6 Bluetooth Deftun.
Huu unausika na kutengeneza Door Lock zenye high security zinazotumia smart credit card [emoji388] Kama za Bank kufugulia milango yenye ulinzi mkali.
Kama unataka kutengeneza kampuni yako hapo Dar ya kutengeneza high security door hiki ni kitendea kazi muhimu.
Pia kifaa hiki Kuna baadhi ya watu wana kiabuse coz mtu akiswipe kwenye kwenye kifaa hiki taarifa za kwenye Bank ya kadi zinakuwa copied kwenye blank card nyingine thus Bank card inakuwa cloned na mtu anaweza kufanya ATM withdrawal comfortably.
But the aim ni kutengenezea Smart card Door Lock.
N.k kina kazi nyingi saana.
Nakiuza kwa Bei ya kutupa. Ulaya wanauza Dollar $195 Mimi nauza Dollar $160 tu.
Karibuni.