Nauza kitabu Cha UJASUSI yanayoendelea kuhusu COVID 19

Nauza kitabu Cha UJASUSI yanayoendelea kuhusu COVID 19

bloggerboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
568
Reaction score
1,217
Hello guys,

Nauza kitabu hicho kimeandikwa kwa koswahili kabisa..,njoo inbox (Bei Ni tshs 5000 tu) ujipatie., Na weekend yako iwe mujarabu huku ukijikinga na COVID 19

Pata dondoo kidogo hapo

SEHEMU YA KWANZA


Taharuki kubwa ilitanda
katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam baada ya
ndege ya shirika la ndege la
Tanzania aina ya Boeing 787
– 8 dream liner, kupata
hitilafu wakati ikijaribu
kutua katika uwanja huo.
Ndege hiyo iliyokuwa
inatokea Afrika Kusini ikiwa
na bairia 218 ndani yake,
ilipata hitilafu baada ya gea
ya kutua kushindwa kufanya kazi

......,..
 
Hello guys,

Nauza kitabu hicho kimeandikwa kwa koswahili kabisa..,njoo inbox ujipatie., Na weekend yako iwe mujarabu huku ukijikinga na COVID 19
Mkuu ungetupitisha katika dondoo chache ili angalau mtu aweze kupata picha ya jumla iliyopo ndani ya maudhui ya kitabu chako.
 
Mkuu kuja "inbox" kupata nakala ya kitabu chako ni jambo lingine, pia angalau kujua maudhui yake ni jambo lingine pia. Yote ni muhimu na yanategemeana.
Hutojutia kuhusu maudhui yake...,just come and take it
 
Back
Top Bottom