Nauza kitanda changu nahama dar

Hicho sio kitanda Ni fanicha.
Utamuuzia labda mvuta bangee
 
Hiki kitakuwa kitanda cha hospital ambacho huwa analalia yule anayemuuguza mgonjwa kwa hospital wanazoruhusu kulala na mgonjwa
 
Baada ya maisha ya hapa dar kuzidi kuwa magumu kwa upande wangu nimeamua niuze Kitanda changu nimekilalia mwaka mmoja tu
Bei ni 200000 sipunguzi. Ukikihitaji nakuletea ulipo..
NB: kama sio mnunuzi usichangie uzi huu.

View attachment 1109794
Nilipokiona nilishtuka nikajua Jeneza kumbe ni kitanda
 
Dah nimecheka kama mazuri yaan vyuma vimekaza kwel et "kama sio mnunuzi usichangie huu uzi"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…