mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
Ni matumizi mabaya ya mbaoHata bure hutaki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni matumizi mabaya ya mbaoHata bure hutaki?
Ahaaa, sitakii, kitanda cha ajabu kuliko hata vile Vya boarding [emoji12]Hata bure hutaki?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Umesema hupunguzi. Hupunguzi kitanda au bei?
[emoji38][emoji38][emoji38]Mbona kama kibanda cha mbwaa
Nilipokiona nilishtuka nikajua Jeneza kumbe ni kitandaBaada ya maisha ya hapa dar kuzidi kuwa magumu kwa upande wangu nimeamua niuze Kitanda changu nimekilalia mwaka mmoja tu
Bei ni 200000 sipunguzi. Ukikihitaji nakuletea ulipo..
NB: kama sio mnunuzi usichangie uzi huu.
View attachment 1109794
HahahaUmesema hupunguzi. Hupunguzi kitanda au bei?