Weera weraaaa
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 740
- 657
Jamani Ndio vyuma kubana auvkitu gani? Biashara haitoki Kama xamani.maguboy legesa kidogo baba twafwaaaa
Unafanyia biashara yako wapi?Jamani Ndio vyuma kubana auvkitu gani? Biashara haitoki Kama xamani.maguboy legesa kidogo baba twafwaaaa
Kuandikwa=kuandikaWagawie ndugu zako
Yaani unashindwa kujiongeza na umeshindwa hata kuandikwa lugha adhimu hii kwa ufasaha
AsanteKuandikwa=kuandika
ikishacheua inasaidia nini ,na isipocheua inapungua nini kwenye minofuharamu iyo mkuu haicheui
imani mkuuikishacheua inasaidia nini ,na isipocheua inapungua nini kwenye minofu
Biashara imekuwa ngumu mwezi huu kwasababu haicheui?haramu iyo mkuu haicheui
Hata Zanzibar piaNi kawaida kabisa,Ramadhan akija na biashara ya kitimoto inashuka kabisa.Hasa mikoa ya Dar,Tanga,Tabora,Lindi,hadi Bagamoyo
Hata nyie mnaitumia kumbe!!??Huu ni mwezi mtakatifu
Tunajinyima kwa vitu vingi
Upo wapi kamandaJamani Ndio vyuma kubana auvkitu gani? Biashara haitoki Kama xamani.maguboy legesa kidogo baba twafwaaaa