Liutenant
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 620
- 1,014
Habari wakuu.
Ninauza kiwanja changu kilichopo eneo linaitwa butiama (sehemu maarufu kama kinondo) ndani ya kata ya mabwepande.
Lipo umbali wa kama km 10 kutoka Bunju A. Bado hapajapimwa lakini mchakato huo upo na unafanywa kwa pamoja kwa wananchi zaidi ya mia mbili.
Ukubwa ni 25x25 na bei ni milioni mbili.
Ninaweza kukupeleka kuona wakati wowote.
Karibuni