Nauza kiwanja changu kilichopo mbezi msumi tshs.10mil. Only

Nauza kiwanja changu kilichopo mbezi msumi tshs.10mil. Only

tshabalala_the_greto

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
452
Reaction score
229
Kiwanja kina ukubwa wa Square meter Mia Sita(600sq.mtr),kiwanja kipo maeneo ya Mbezi Msumi kanisani kwenye viwanja vya mradi wa Watt Saccoss,eneo limepimwa,umbali wa takribani meter 100 kutoka barabara kubwa ya kuelekea
msumi mwisho bus stand.Serious Buyer plz contact number 0718 333 766
 
Kanisa gani unalolizungumzia? Ni km ngapi kutoka Mbezi mwisho? Kuna umeme?
 
Kanisa katoliki msumi,kituo cha bus kinaitwa msumi kanisani,takribani kama 6km kutoka mbezi mwisho bus stand
 
Nina milion 12 nahitaji kiwanja kisichopungua ukubwa WA 1200 m2!!!! Maeneo ya Boko, Kigamboni, Bunju, mbweni jkt, kibada, tuangoma...kiwe mahali ambapo watu wameshaanza kujenga kwenye huduma za kijamii..Kama maeneo ni mazuri nitaongeza pesa...Ukinionesha picha nitashukuru sana..kwa sababu mimi niko nje ya nchi kwa sasa..
 
Back
Top Bottom