Nina milion 12 nahitaji kiwanja kisichopungua ukubwa WA 1200 m2!!!! Maeneo ya Boko, Kigamboni, Bunju, mbweni jkt, kibada, tuangoma...kiwe mahali ambapo watu wameshaanza kujenga kwenye huduma za kijamii..Kama maeneo ni mazuri nitaongeza pesa...Ukinionesha picha nitashukuru sana..kwa sababu mimi niko nje ya nchi kwa sasa..