Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 490
Habari ndugu,
Kiwanja no 140 katika ramani
Asanteni sana
- Nawatangazia wadau wote kua ninauza kiwanja changu kilipochopo maeneo ya Kigamboni Kimbiji puna
- Ni meter 150 toka barabara kuu facilities kama maji na umeme tayari vimefika
- Kiwanja kina ukubwa wa sqm 520
- Kiwanja kina hati toka ardhi
- Itapendeza kama biashara hii utawashirikisha uongozi wa jamii forum ili uepukane na utapeli
Kiwanja no 140 katika ramani
Asanteni sana