Plot4Sale Nauza kiwanja changu kina hati kipo Kimbiji Puna bei mil 6

Plot4Sale Nauza kiwanja changu kina hati kipo Kimbiji Puna bei mil 6

Dah Yale Yale Puna. Nina kiwanja changu huko ila mpaka nimekisahau. Kule ni distance sana kwa kweli.

Anyway Nauza viwanja 2 vilivyopimwa vipo Kiluvya Dar es Salaam. Bei ni 4m kwa aliye serious ani PM
Habari, natafuta kiwanja kiluvya. Bado unavyo? Niunganishe basi na mtu unayemjua huko.
 
Back
Top Bottom