Kahtan Ahmed
JF-Expert Member
- Aug 24, 2011
- 765
- 490
Kimbiji ni umbali gani toka Ferry au Daraja la Nyerere?
3.5M vipi?
Kimbiji ni mbali Sana kutoka citycenter, hata bagamoyo ni Karibu.
3.5M vipi?
Kimbiji ni mbali Sana kutoka citycenter, hata bagamoyo ni Karibu.
Unapita kwa Sophia Simba? Amani Gomvu?
3 Chaap
Milioni 4 unachukua?Ipo mfuko wa shati hapa.Habari ndugu kiwanja bado kipo
Milioni 4 unachukua?Ipo mfuko wa shati hapa.
Milioni 4 unachukua?Ipo mfuko wa shati hapa.
Vuta subira utapata tuuHela imekwenda wapi jamani mtaani kweupeee
Natafuta dereva wa bajaji mpya....ipo dar kwa haraka nitafute kwa 0685510681Vuta subira utapata tuu