Habari wana jf natumai hamjambo Nauza kiwanja changu kilichopo Kigamboni Kibugumo Daes salaam ni karibu na South Beach watu wamejenga umeme upo na gari inafika hadi katika kuwanja ukubwa ni upana hatua kama 25 na urefu hatua kama 30 bei maelewano anaehitaji serious anipm tuongee au niandikie email [email protected] Ahsanteni