Habari wana jf natumai hamjambo Nauza kiwanja changu kilichopo Kigambona Kibugumo Daes salaam ni karibu na South Beach watu wamejenaga umeme upo na gari inafika hadi katika kuwanja ukubwa ni upana hatua kama 25 na urefu hatua kama 30 bei maelewano anaehitaji suruiaas nipm tuongee au niandikie email threecar34@hotmail.com Ahsanteni
Mjimwema ni sehemu ya mradi hairuhusiwi kujengwa.
kwa sp order gani unayosema wewe ilitolewa lini hiyo stop order mimi mtu kabla ya kununua ataenda serikalini kuulizia na ukienda haposehemu watu wanaendelea na ujenzi kama kawaida kuna jirani yangu euza mwezi uliopita na alienunu anaedelea na ujenzi serikal imeleta hadi umeme pale napia serikali wasingelikubali kuandikisha hati ya mauziano kupiti kwao ?Mjimwema ni sehemu ya mradi hairuhusiwi kujengwa.