Plot4Sale Nauza kiwanja Dodoma

Plot4Sale Nauza kiwanja Dodoma

khalifa awe

Senior Member
Joined
Sep 21, 2016
Posts
147
Reaction score
31
Nauza kiwanja cha viwanda vidogo DODOMA mjini eneo la Nala CHINANGALI, block EE, tazama kwenye picha kiwanja namba 384 SQM 3954, ni hatua chache toka barabara kuu ya kwenda singida, kiwanja kina hati, kiwanja ni changu hakina Dalali, kila SQM 1 ni sh elf10, kama wewe ni Dalali nitakupa asilimia 10, mawasiliano 0683670160.

IMG-20231024-WA0006.jpg
 
Eneo la Chinangali si ndio hili inaanzia hapo keepleft ya Arusha kama unaenda Area A?
 
Back
Top Bottom