Nauza kiwanja Goba karibu na shule ya msigi ya Goba/ karibu na kanisa ya wasabato

Nauza kiwanja Goba karibu na shule ya msigi ya Goba/ karibu na kanisa ya wasabato

mulwanaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
5,260
Reaction score
12,871
Kwa mtu anayehitaji Kiwanja, mita 30×30
Bei 30m lakini pia maelewano yapo kama unahitaji njoo inbox kwa maelewano zaidi
 
Mkuu hebu acha Unaa, kweli hilo Tangazo lako linaweza kumshawishi MTU atoe hizo Million 30???
 
Mi ninakiwanja maeneo ya vikindu 35/50 nimenunua 1.2 million.. Kwa hyo bei ya kiwanja chako nasimamisha kibanda changu mpka finishing
 
Back
Top Bottom