Wadau naombeni msaada wenu.
Ninauza kiwanja changu ili niweze kupata Mtaji maana mambo yamenibana sana. Ijapokuwa niliplani kujenga nyumba ila nimekwama na hiyo ploti ndio Inaweza kuninyanyua.
Kiwanja kimepimwa kina sqm 864 na kiko Gezaurole Kigamboni. Kiwanja kina hati hati safi isiyo na deni ardhi.
Kama humu ndani kuna mdau anahitaji kiwanja tuwasiliane au unamjua mtu au ndugu yako mwenye kuhitaji basi tupigiane pande.
Bei yake ni shilingi milioni ishirini na tano (25,000,000/=) ikijumuisha na gharama za mikataba, yaani ukilipa hiyo tu umemaliza hakuna tena o gharama za kuandikishana au mashahidi. Karibuni wadau tuungane mikono.