Kwahii bei mteja sasa hivi utampataWadau naombeni msaada wenu.
Ninauza kiwanja changu ili niweze kupata Mtaji maana mambo yamenibana sana. Ijapokuwa niliplani kujenga nyumba ila nimekwama na hiyo ploti ndio Inaweza kuninyanyua.
Kiwanja kimepimwa kina sqm 864 na kiko Gezaurole Kigamboni. Kiwanja kina hati hati safi isiyo na deni ardhi.
Kama humu ndani kuna mdau anahitaji kiwanja tuwasiliane au unamjua mtu au ndugu yako mwenye kuhitaji basi tupigiane pande.
Naona umeweka Tangazo lakini number hakuna, Kiwanja kipo block gani hapo Gezaulole?!!..Hati yako ni ya miaka mingapi?...ni tambalale au kule kwenye bwawa la samaki?..kutoka barabara kuu Hadi kwenye Kiwanja ni umbali gani?!!...+255714908121Wadau naombeni msaada wenu.
Ninauza kiwanja changu ili niweze kupata Mtaji maana mambo yamenibana sana. Ijapokuwa niliplani kujenga nyumba ila nimekwama na hiyo ploti ndio Inaweza kuninyanyua.
Kiwanja kimepimwa kina sqm 864 na kiko Gezaurole Kigamboni. Kiwanja kina hati hati safi isiyo na deni ardhi.
Kama humu ndani kuna mdau anahitaji kiwanja tuwasiliane au unamjua mtu au ndugu yako mwenye kuhitaji basi tupigiane pande.
Bei yake ni shilingi milioni ishirini na tano (25,000,000/=) ikijumuisha na gharama za mikataba, yaani ukilipa hiyo tu umemaliza hakuna tena o gharama za kuandikishana au mashahidi. Karibuni wadau tuungane mikono.
Bei sh. 25,000,000/=.Unauzaje?weka bei hapa tuone tunafanyaje
Mkuu ni block 23, hati ya miaka 33 eneo zuri tu Mkuu, na ukitaka kupaona napatikana kwa simu na 0655181862.Naona umeweka Tangazo lakini number hakuna, Kiwanja kipo block gani hapo Gezaulole?!!..Hati yako ni ya miaka mingapi?...ni tambalale au kule kwenye bwawa la samaki?..kutoka barabara kuu Hadi kwenye Kiwanja ni umbali gani?!!...+255714908121