msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,880
hizo zilikuwa ni bei za awamu ya JK wewe, mi juzi nimenunua nyumba hukohuko unaposema kwa mil 25 tu,bado kupaua tu nihamieLabda iwe millioni ya Zimbabwe..lakini kwa Tanzania hii ni bei ya nyumba.. Kibada haijafikia hapo..