dalali mdogo
Member
- Oct 29, 2017
- 11
- 5
- Nauza kiwanja Kiluvya njiapanda ya kwa Sumaye. Kiwanja kinaukubwa wa nusu heka, kimewekwa mawe bado hati tu.
- Kipo karibu na miundombinu yote barabara na umeme
- Bei ni milioni 13
- Kwa mawasiliano, nicheki kupitia: 0656476747, 0692498691