Nauza kiwanja kina nyumba dodoma mjini mtaa wa michese

Nauza kiwanja kina nyumba dodoma mjini mtaa wa michese

Mayala B

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2019
Posts
2,365
Reaction score
5,747
Aman kwenu wakuu

Kuna kiwanja nakiuza hapa dodoma kipo michese kutoka dodoma mjini kwenda pale naul mia tano tu

Kina nyumba kabisa sema bado haijaisha

Kiwanja kipo pazur sana karbu na bara bara

Karbun sana ndugu zangu

Bei ni milion tano tu ila nitapunguza kidogo

IMG-20190802-WA0008.jpeg
IMG-20190802-WA0006.jpeg
IMG-20190802-WA0007.jpeg
IMG-20190802-WA0003.jpeg
IMG-20190802-WA0005.jpeg
IMG-20190802-WA0004.jpeg
 
Ni njia ya kuelekea wapi hiyo mkuu ukitokea Dodoma mjini...?
 
Back
Top Bottom