Plot4Sale Nauza kiwanja kipo Mongola

Plot4Sale Nauza kiwanja kipo Mongola

meenah90

Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
33
Reaction score
16
Nauza kiwanja kipo Mongola ndege kwa bei ya Milioni Nane (8) kina ukubwa 18×20 Mimi ni muhusika mwenyewe na sio dalali kwa mawasiliano zaidi nipigie no 0718343299

IMG-20221026-WA0021.jpg
 
Kiwanja kipo malamba king’azi njia ya kinyerezi to mbezi ukubwa ni 20 kwa 25 Bei 8 million piga simu 0693300971
 
Mongola si pale arusha kwa mrefu asee hichi kiwanja kinauzwa bei rahisi sana 😆😆 weka location ya kueleweka duazi kweli ww😁😁😁 yaani kuna madogo wengine wanadhani watu wote wanapajua mongola.
 
Back
Top Bottom