Alex Dennie
Senior Member
- Aug 31, 2013
- 112
- 44
0621324181 tuwasiliane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, viwanja/kiwanja bado kipo?Salam wakuu,
Nauza kiwanja chenye urefu wa mita 35 na upana mita 20.
Kimepimwa(surveyed)
Bei ni Tsh. Milioni 3
Plot number 594
Location: Morogoro, Mkundi.
Mawasialiano zaidi: WhatsApp number 0742666736
View attachment 2685533
Nilisitisha zoezi Mkuu, nilitatua changamoto yanguJe, viwanja/kiwanja bado kipo?
Details za kutosha na kama ni surveyed plot utapata mteja soon naomba unipm mkuu...Kutoka Morogoro mjini hadi mkundi nauli ya daladala ni shs 700 na distance Ni 12Km kutokea pale Msamvu,Mkundi ipo Dodoma road
Kama alikuwa ana mpango wa kununua atakinunua. Kama hakuwa na mpango huo basi amemsaidia mnunuzi atakayekinunua....John Wickizer Mulholland maswali mazuri.
1.ni changu mwenyewe
2. Nina shughulika na upimaji wa viwanja na mashamba,tuna kampuni ya upimaji, ARDHISOL T LIMITED. nimekipata kama sehemu ya malipo yangu ya upimaji na mikataba ipo.
3. Bado sijakikatia hati ila serikali nzima eneo hilo na hata ofisi ya ardhi wanaujua upimaji huo maana wao ndio walihidhinisha na kuvisajili na ndio maana nimeweka na ramani hapo ya surveying.
4. Nimeoa Mkuu,Mama Ngina wangu anafahamu,Mama yangu mzazi pia ana fahamu maana yupo hapo Mkundi.
5. Hakina madai wala madeni,ni maeneo mapya!
6. Upande wa kushoto,ule wanaokaaga Askari kwenye kibanda.
7. Mkundi mwisho kabisa, Mwenyekiti wa mtaa alikua anaitwa Musa na wajumbe wake mmoja wapo anaitwa Mama Neema.
8. Mikataba ya upimaji na ugawanaji wa viwanja ipo Mkuu. Na pia tuna ofisi na vijana hapo Morogoro ambao wqmekua wakifanya kazi ya kuuza viwanja kama marketing.
9. Hakuna mgogoro wowote.
10. Tulifanya kama kampuni kwa kupata kibali kutoka idara ya mipango miji-/Halmashauri na tukakaa pia na serikali ya mtaa na wananchi,hatua zote zilifuatawa,tulioima viwanja zaidi ya 300 na vyote vikasajiliwa na Halmashauri,ramani ambatanishi hapo juu ni sehemu tu ya kazi hiyo.
Kwamba mkuu ulikuja kuturingishia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nilisitisha zoezi Mkuu, nilitatua changamoto yangu
Kwamba mkuu ulikuja kuturingishia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Halafu nyinyi watu wa Morogoro sijui mna shida gani! Kuna mwenzako naye aliwahi kuleta tangazo humu jukwaani, la kuuza kiwanja chenye ukubwa wa nusu heka maeneo ya Kihonda.Nilisitisha zoezi Mkuu, nilitatua changamoto yangu
Tate iwe,punguza kulaumu Mkuu,mtu hadi akiamua kuuza asset yake ujue kuna dharura imemfika,hutokea akapata suluhu ama ahueni wa Jambo linalomkabili na akabadili maamuzi!Halafu nyinyi watu wa Morogoro sijui mna shida gani! Kuna mwenzako naye aliwahi kuleta tangazo humu jukwaani, la kuuza kiwanja chenye ukubwa wa nusu heka maeneo ya Kihonda.
Siku nimejichanga, nampigia tufanye biashara! Akanipa jibu kama jili la kwako. Kiufupi alinikera sana.