NAUZA KIWANJA MAENEO YA TABATA KIFURU(HALI YA HEWA) KWA Tsh.million 4 tu

NAUZA KIWANJA MAENEO YA TABATA KIFURU(HALI YA HEWA) KWA Tsh.million 4 tu

ALLY RIYAMI

Senior Member
Joined
May 26, 2012
Posts
115
Reaction score
15
kiwanja kipo tabata kifuru au wanaita hali ya hewa.kina urefu wa miguu 40 na upana 25.hati na document zote zipo.call me 0652740304
 
Ebu weka vipimo kwa mita maana vya miguu huwa havieleweki. Mfn miguu ya Joti na Thabiti ni tofauti sana.
 
Acha kuuza viwanja vya watu wewe utafungwa?toka lini Kiwanja chenye hati Kifuru kikauzwa bei hiyo?au umegundua kina mgogoro unataka kumshika mtu hapa?Hebu toka hapa nyang'au mkubwa.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mmmmh niko interested lakini hebu tutoe hofu kuhusu hili la mgogoro
 
Back
Top Bottom